Gari la gas linavuja, watu wakimbia hovyo

Gari la gas linavuja, watu wakimbia hovyo

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
4,058
Reaction score
2,637
kuna gari la gas maeneo ya shangalai limetoboka tank, gas inavuja, watu wamekimbia wengine wameacha magari yao. ni kizaa zaa
 
polisi ndo wanafika sasa hivi, gas inaelekea kupungua, walio jirani na eneo wengine hawajui watoto wamekimbilia wapi.
 
yaani kifo si mchezo, watu wamekimbilia migombani. uzuri hakuna maafa mpaka sasa.
 
polisi ndo wanafika sasa hivi, gas inaelekea kupungua, walio jirani na eneo wengine hawajui watoto wamekimbilia wapi.

poleni sana TBC hawakushirikishwa kuhusu viwango vya tanks? na kawaida tank huwa zinakaa kwenye buti, hiyo tank imewekwa wapi???
 
barabara kuu ya moshi arusha imefungwa mpaka sasa. polisi wanataka kuhakikisha gas yote imekwisha.
 
poleni nadhani gas ya wakati si kama ile ya zamani inayolipuka hovyo,kuna namna wameiboresha ndo maana hata majumbani mwetu hazilipuki hovyo wapunguze woga.
 
poleni nadhani gas ya wakati si kama ile ya zamani inayolipuka hovyo,kuna namna wameiboresha ndo maana hata majumbani mwetu hazilipuki hovyo wapunguze woga.
Mkuu sio vema ukapima ukali wa moto kwa kidole.....
 
Back
Top Bottom