Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,426
- 7,942
Gari la Bia limepinduka Zanzibar na mzigo (BEER[emoji482]) uko salama kabisa na raia wanauangalia...
... Rombo wangejinywea na "kuzimikia" hapo hapo kwenye tukio!Yereuwiiii natamani ingetokea Rombo
Haya ni matumizi mabaya kabisa ya ajaliGari la Bia limepinduka Zanzibar na mzigo (BEER[emoji482]) uko salama kabisa na raia wanauangalia...
View attachment 1780303
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yereuwiiii natamani ingetokea Rombo
... hapana! Zanzibar wana utu na ustaarabu fulani tofauti na watu wa "maporini".huo utu nadhani ni kipindi tu hiki cha mfungo
Hata ingekuwa kipindi cha kawaida, Wazenji sio wezi wa bidhaa za watu kwenye ajali.huo utu nadhani ni kipindi tu hiki cha mfungo
[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji28]Haya ni matumizi mabaya kabisa ya ajali
DuuuuhHaya ni matumizi mabaya kabisa ya ajali
Hii mpaka leo hii ipoZenji ustaarabu ndio kwao.kipindi Cha nyuma kidogo ukidondosha pochi,mtu anaokota na alasiri ZBC wanatangaza,ilikuwa raha Sana.
Mkuu kwa siku za hivi karibuni,sidhani Kama Mambo ni hivyo.Hii mpaka leo hii ipo
Kwani si juzikati tu kuna mtu aliokota mfuko uliokuwa na Mil 150, au umesahau na habari zake zikasambaa!Mkuu kwa siku za hivi karibuni,sidhani Kama Mambo ni hivyo.