dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,157
- 57,564
... nimeshajibu hii hoja juu huko. Ingetokea maeneo mengine yenye wafungaji unadhani ingekuwa hivyo?Hao wamefunga mjomba.
... nimeshajibu hii hoja juu huko. Ingetokea maeneo mengine yenye wafungaji unadhani ingekuwa hivyo?Hao wamefunga mjomba.
Wangebeba wakazifuturu jioni.... nimeshajibu hii hoja juu huko. Ingetokea maeneo mengine yenye wafungaji unadhani ingekuwa hivyo?
... mbona wazinzibar hawakubeba?Wangebeba wakazifuturu jioni.
Wanakuja kukujibu.... mbona wazinzibar hawakubeba?
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]"Uko salama na raia wanauangalia" mleta uzi unaonekana umeumia sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwaka wale uamsho walivunia bar ya CCM wakapombeka wote chakari. Huu mwezi tuu umetuzuia.... hapana! Zanzibar wana utu na ustaarabu fulani tofauti na watu wa "maporini".
Siyo tu kwenye ajali hata ukisahau kitu utakipata mradi tu ukumbuke uliposahau Kama wabongo hawakupita unakipata.Hata ingekuwa kipindi cha kawaida, Wazenji sio wezi wa bidhaa za watu kwenye ajali.