Gari la bia limepinduka Zanzibar

Gari la bia limepinduka Zanzibar

Mkuu kwa siku za hivi karibuni,sidhani Kama Mambo ni hivyo.

Au umesahau hii habari.
 
Zenji ustaarabu ndio kwao.kipindi Cha nyuma kidogo ukidondosha pochi,mtu anaokota na alasiri ZBC wanatangaza,ilikuwa raha Sana.
... ndio yale malezi ya watoto na vijana aliyozungumzia Mama Samia kwenye hotuba yake akiongea na wazee wa Dar es Salaam.
 
Wengi wao hawatumiagi hizo vitu Wala sio kusema ustaarabu lianguke la soda halafu usiwe mwezi wa mfungo muone..😂
 
Wengi wao hawatumiagi hizo vitu Wala sio kusema ustaarabu lianguke la soda halafu usiwe mwezi wa mfungo muone..[emoji23]
Hata lingekuwa la soda, hawana ushamba huo kule! Kuna Bureau de change moja mmiliki wake anaitwa Said Makka, aliwahi kuvamiwa na majambazi na wakachota hela si chini ya Mil 70 na kuondoka nazo bahati nzuri watu waliwaona eneo la tukio na kuwaungia, majambazi walitumia trick ya kuchukua maburungutu ya hela na kuzirusha hewani huku zikitawanyika, lakini watu bado wapo wamewaungia, hadi mwisho wa siku majambazi yote yalikamatwa na hela ikakusanywa na kurudishiwa mwenyewe kama ilivyo!
Ingekuwa Dar ingepatikana yote kweli?
 
Natamani ningekuwepo hapo
Ila zenji machimbo ya pombe yapo
Sana ila mpaka uyajue na wapo watu wanadiga mitungi balaa

Ova
 
cc wa watu wa visiwani kwanza hatujui hyo nini??
 
Back
Top Bottom