Gari la askari lakamatwa na pembe za ndovu mpakani Himo

Haya yote yanawezekana katika nchi inayoongozwa na raisi dhaifu na chama kilicho choka mbaya!...kila kona pamejaa utata. Ukiachia ya twiga kusafirishwa nje, nasikia jamaa alikwenda hongkong kinyemela kumkomboa mwanae kwa dhamana ya rasilimali zetu.
Ujinga huu mpaka lini?....CCM MUST GO FIRST
 
aaaaahaaaaaaaa ndio maaana hawataki CCM itoke madarakani na police wapo tayari kuwaua watz wanzao ili waendelee kufanya haya
 
Back
Top Bottom