Gari Kutoka Ghana

Gari Kutoka Ghana

Tuliplan kuanza na Tanzania ya viwanda Ila Mambo ya vyeti feki yakaingilia kati ...Hivyo mtupe muda kidogo
Miaka mingi iliyopita tanzania ilikuwa inaunganisha magari ya scania kule kibaha
 
hapo vipi bado wanafanya asmbly!
Ndugu yangu unaambiwa hapo ni kuunganisha magari bado huamini (Assembling}
Tanzania watu wa mitaani wanaAssembly mpaka Helikopta
Kiwanda cha Nyumbu kumetoa magari muundo wa Jeep inambeba amiri Jeshi
kuna jamaa anaitwa songoro anaunda meli ziwa Viftoria, ziwa Nyasa na hata hapo Dar (hebu Google)
hao jamaa wa Ghana hebu waulize hiyo windsfreen kaiunda au kapachika? taa bulb/ matairi
Bado Tanzania hatuuko nyuma
jamaa wamekuwekea picha za meli ya mtanzania naona ni Songoro hao
img_20170315_193855_828-jpg.481409
 
Katika nchi takribani 7 za AFRUKA zilizokua na Kiwanda cha magari miyaka ya 1980 TZ ilikuwemo kinaitwa NYUMBU MOTOCAR: MOROGORO KILOMBERO MANG'LA
 
Kuna uzi humu uliletwa kuwa kuna kiwanda cha magari kimeanzishwa na gari ya kwanza kuundwa itakuwa tayari mwezi desemba mwaka jana (2016). Sasa sijui kimeishia wapi!
 
Mang'ula siokiwanda cha kutengeneza magari kilikuwakinachonga vipuri na kutengeneza spana
 
Hizo gari zinaitwa KANTAKA , na sio kwamba wanafanya assembly,ni wanaunda magari,na wiki mbili zilizopita kuna mtanzania kaita moja ya hizo gari,
 
Hizo gari zinaitwa KANTAKA , na sio kwamba wanafanya assembly,ni wanaunda magari,na wiki mbili zilizopita kuna mtanzania kaita moja ya hizo gari,
Kuna watu ni wabishi awataki kuukubari ukweli ok kuna Meli wametengeneza wa TZ akuna alie pinga lakini nimeweka mpaka Youtube video kuonyesha ninamna gani jamaa wamefanya na nikitu ambacho hata garage za mitaani wana weza kufanya ikiwa tu watakuwa na msomaji mzuri wa ramani na vipimo.
 
hizi piki piki za kichina siku hizi almost zote zinakuwa assembled hapa hapa Tanzania, nilipata bahati kutembelea kiwanda chao kule vikindu,

kuunga unga hivyo sio kazi, kazi kubuni na kudesign maqna hapo umeshatafuniwa tayari
 
Kuna watu ni wabishi awataki kuukubari ukweli ok kuna Meli wametengeneza wa TZ akuna alie pinga lakini nimeweka mpaka Youtube video kuonyesha ninamna gani jamaa wamefanya na nikitu ambacho hata garage za mitaani wana weza kufanya ikiwa tu watakuwa na msomaji mzuri wa ramani na vipimo.

= hawataki
= kuukubali
= hakuna
= aliye
 
Tz wote wakaguliwe vyeti kwanza maana mkijaribu tu kutengeneza magari yatalipuka na kuleta majanga kwa taifa.
 
Back
Top Bottom