Gari Kutoka Ghana

Chink

Member
Nov 24, 2012
70
23
Hivi nikweli kabisa pamoja na kuonyeha na kusaidiana hapa kwa Tech tumeshindwa kufanya kitu kama hiki au.....Hizi zina tengenewa Ghana na shuguli hizi za utengenezaji zinafanyikia kwenye majengo hayo,
images
 
Hawa huunganisha magari
 
Mkuu, sina uhakika wa 100℅ wa unachokisema ila kama ni kweli hapo ni assembling tu, hamna factory ya kutengeneza gari izo, hivi unajua gari Linapita ktk atua ngapi hadi likamilike?
 
Hivi nikweli kabisa pamoja na kuonyeha na kusaidiana hapa kwa Tech tumeshindwa kufanya kitu kama hiki au.....Hizi zina tengenewa Ghana na shuguli hizi za utengenezaji zinafanyikia kwenye majengo hayo,
images

Nani atanunua hiyo takataka?
 
Hapo ni assembling tuu Mkuu, Kenya Ford wanakiwanda cha magari ila sio kwamba wanaanza from the bottom no, Germany huleta tu parts na kuwa assembled apo, Sema Hao Ghana sio wa kubezwa hio ni hatua kubwa yapo makampuni makubwa tu ambayo hutegemea kuagiza baadhi ya Hardware nje ya kampuni yao
 
Jamaa awaigizi
 
Huu ndio ulikuwa mwanzo wa kila kitu ni mchungaji huyu jamaa alitumia waumini wake kwenye kazi hii ya uhundaji wa gari kwa kuwapeleka shule kila mmoja na na fani yake ambayo alipangiwa kwenda kusoma ni kama VETA na SIDO tu.
 
Hapo ni assembling tuu Mkuu, Kenya Ford wanakiwanda cha magari ila sio kwamba wanaanza from the bottom no, Germany huleta tu parts na kuwa assembled apo, Sema Hao Ghana sio wa kubezwa hio ni hatua kubwa yapo makampuni makubwa tu ambayo hutegemea kuagiza baadhi ya Hardware nje ya kampuni yao
Wana unda mpaka Block
 
Hivi nikweli kabisa pamoja na kuonyeha na kusaidiana hapa kwa Tech tumeshindwa kufanya kitu kama hiki au.....Hizi zina tengenewa Ghana na shuguli hizi za utengenezaji zinafanyikia kwenye majengo hayo,
images
Hao kwetu bado cha mtoto bongo sasa wamejikita kuunda meli :
 
Attachments

  • IMG_20170315_193855_828.jpg
    IMG_20170315_193855_828.jpg
    55.2 KB · Views: 49
  • IMG_20170315_193936_688.jpg
    IMG_20170315_193936_688.jpg
    15 KB · Views: 23
Back
Top Bottom