Gari isiyokuwa na engine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari isiyokuwa na engine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Dec 4, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,386
  Likes Received: 22,266
  Trophy Points: 280
  Sika hii kuna jamaa mmoja alikuwa na rafiki yake wako bar wamepigamtungi mbaya wote wakawa chali sasa wakafanya biashara ya kuuziana gari, mshkaji akauziwa WV beetle akaenda nayo fresh mpaka home.,... Asubuhi jamaa akaamka kachukua maji anataka kwenda akapoze rejeta kufungua bonet haoni engine.. acha amind kuwa kauziwa gari bila engine,, akaingia kwenye hilohilo gari kaliwasha hadi polisi kufika mazungumzo yakawa hiviĀ…;-

  Jamaa;- nimekuja kufungua kesi ya madai
  Polisi;- toa maelezo madai ya nini
  Jamaa;-jana kuna mtu kaniuzia gari haina Engine
  Polise;- hiyo gari iko sehemu gani?
  Jamaa;- iko hapo nje
  Polisi;- imefikaje hapa?
  Jamaa;- nimekuja naiendesha
  Polisi;- we mpuuzi utaendeshaje gari haina engine?
  Jamaa;- MAUTAALAMU TU AFANDE mi fundi magari
   
Loading...