CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Wana jf nipo safarini naelekea Iringa,nimepita maeneo ya mdaula mdaula nimeona kuna gari ya mizigo inawaka moto.Mwenye taarifa zaidi aweke hapa.
wana jf nipo safarini naelekea iringa,nimepita maeneo ya mdaula mdaula nimeona kuna gari ya mizigo inawaka moto.mwenye taarifa zaidi aweke hapa.
Mwenyezi Mungu akusaidie uwe na angalau chembe ya busara.itemeee mate
Kwanini hukusimama kuona litaishia vipi.Wana jf nipo safarini naelekea Iringa,nimepita maeneo ya mdaula mdaula nimeona kuna gari ya mizigo inawaka moto.Mwenye taarifa zaidi aweke hapa.
Kwanini hukusimama kuona litaishia vipi.
Yes kiongozi nilikua Iringa but I just come back last night!U know ni matatizo ya kifamily ndiyo yaliyonipeleka kule.Spika unakwenda Iringa tena jamani?Kwani wewe hizi kamati za bunge zilizoanza hazikuhusu wewe kweli?au umezira baada ya posho kukataliwa kuongezwa?
Nilikua kwenye public transport ndugu yangu(ABOOD BUS)But jana nimepita maeneo hayo nimekuta ni jivu tuu!Spika!
Wewe ni Kamanda! Ungepiga break ukatoa msaada angalau! Hata ya fire axtingisha
Spika, haupo serious, yaani tukio uone wewe then sisi tukujuze?
Bora mkuu ulivyomjibu,bcoz lot of people here siyo wastaarabu kabisa,mie nimerudi jana na nimechungulia maeneo hayo nimeona ni jivu tupu.Mwenyezi Mungu akusaidie uwe na angalau chembe ya busara.
Tumearifiwa na mtu aliyekuwa anapita nae kaomba kama kuna mwenye habari zaidi (let say aliyepo karibu au hapo Mdaula),sasa kejeli ya nini?
Binafsi nami pia nimeliona hilo container ikiwa imeshateketea na magari ya mafutayaliyokuwa yakielekea Moro ikabidi yatulie kwanza.
Kama huna cha kuandika kaa kimya huna haja ya kutao kejeli.
Sisi wengine tunaiheshimu sana ya JF