Watu wanaojiamini kupitiliza

Watu wanaojiamini kupitiliza

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,070
Kuna baadhi ya kazi mtu akifanya au wazifa fulani mtu akifikia katika maisha huwa wanaojiamini kupitiliza, kuna rafiki yangu kwa sasa ni marehemu huyo rafiki yangu alikua anajiamini kupitiliza.

Ila leo tena nimekutana na ndugu yangu nae ana hizo element za kujiamini kupitiliza.

Nimepanda kwenye gari yake, hizo speed na rafu za barabarani yaani mpaka nikaona hapa nimeweka maisha yangu reheani maana chochote kinaweza kutokea pia gari halitambui cheo wala wazifa wa mtu.

Daaa jamaaa anajiamini kupitiliza mpaka kwenye chombo cha moto.

Imebidi nimdanganye nishuke kwenye gari yake nimuache aende.

Nipo kwenye daladala narudi home mdogo mdogo.
 
Mi ndo miongoni mwa wanaojiamini kupitiliza juzi nilimkosa muendesha baiskeli kwasababu anaendesha baiskeli haina taa alafu akaanza kunikoromea nikamfata kutaka kumtandika japokua ni mtu mzima kuliko mimi na nisingemuweza ila alivyoona namfata kwa kujiamini akaanza kuongea sauti ya chini kwa kuingia uoga nikaondoka zangu.

Siyo mara moja kuna siku nilipiga mkwara watu watatu na wakatulia.
 
Mwambie kuwa hata ndugu yake marehemu alikuwa kama yeye
 
Kuna mjeda mmoja nae ana pigo hizo yaaan anaona kabisa hapa si salama kwa kupita yy anafosi kisa mjeda.Ukipanda kigari chake cha mkopo yaan unaweza kujilaumu kwa nn nilipanda humu.Ukimsema anaanza kusema makosa sio yake ila umeona kabisa yy anafosi kua overtake sehem si salama.
 
Kuna Baadhi ya Kazi mtu akifanya au Wazifa Fulani mtu akifikia ktk Maisha huwa wanaojiamini Kupitiliza, Kuna Rafiki Yangu kwa Sasa Ni Marehemu Huyo rafiki Yangu Alikua anajiamini Kupitiliza.
Ila Leo Tena nimekutana na ndugu Yangu nae ana hizo Element za kujiamini Kupitiliza.
Nimepanda kwenye Gari yake, Hizo speed na Rafu za Barabarani yaani mpaka nikaona Hapa nimeweka Maisha Yangu reheani maana chochote Kinaweza kutokea pia Gari halitambui cheo Wala Wazifa wa mtu.
Daaa Jamaaa anajiamini Kupitiliza mpaka kwenye Chombo Cha Moto.
Imebidi nimdanganye nishuke kwenye Gari yake nimuache aende...
Nipo kwenye Daladala Narudi Home Mdogo Mdogo.
Kujiamini kupitiliza mnakupima kwa kutumia kifaa gani? Je nitafahamu vp kuwa ninajiamini kupitiliza?
 
Kuna mjeda mmoja nae ana pigo hizo yaaan anaona kabisa hapa si salama kwa kupita yy anafosi kisa mjeda.Ukipanda kigari chake cha mkopo yaan unaweza kujilaumu kwa nn nilipanda humu.Ukimsema anaanza kusema makosa sio yake ila umeona kabisa yy anafosi kua overtake sehem si salama.
Nilichokiona hizi kazi na Wazifa vinawapa watu kujiamini Kupitiliza.
 
Huko si kujiamini bali ni kutaka kuonekana kuwa naye yumo, watu wanaojiamini wako very calm, ukimuona tu tembea yake, kuongea kwake na hata uendeshaji gari unaona kabisa level ya kujiamini ya mtu huyo...kujiamini na kupenda kujionesha ni vitu tofauti.
 
Mi ndo miongoni mwa wanaojiamini kupitiliza juzi nilimkosa muendesha baiskeli kwasababu anaendesha baiskeli haina taa alafu akaanza kunikoromea nikamfata kutaka kumtandika japokua ni mtu mzima kuliko mimi na nisingemuweza ila alivyoona namfata kwa kujiamini akaanza kuongea sauti ya chini kwa kuingia uoga nikaondoka zangu.

Siyo mara moja kuna siku nilipiga mkwara watu watatu na wakatulia.
Hii tabia IPO siku utatolewa linda
 
Dah

Dah tukafungulie swaumu mwanangu Lucha
Nilikuwa kama wewe najiamini kupitiliza napiga watu mikwara hasa bar ila nilidondoka mikononi mwa msukuma mmoja sitaki kukumbuka yale mateke yake 😚
 
Back
Top Bottom