Ushauri wangu kwako,ungeweka bei ingekusaidia kutafutwa na wateja wanaotaka kweli...lakini sasa hata mtu anayefanya 'window shopping' atakupigia.
Jambo lingine,jiulize kwa nini mteja aanze kuhangaika kuuliza bei kwa kupiga simu wakati yapo magari kwenye mitandao mbalimbali yenye bei tayari?
Kumbuka wateja wanapenda sana kurahisishiwa na kutumia muda kidogo sana kupata wanachohitaji
Nawasilisha
Kwanza hiyo sio Corolla Spacio new model. New model zinaanza 2003, weka bei acha kuuza kwa mnada.