Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
Gari inauzwa, ni nzuri sana na ipo kama mpya.
AINA YA GARI: TOYOTA SPACIO NEW MODEL
ENGINE SIZE: 1,496 cc
FUEL: Petrol
Year of manufacture: 2002
Kwa maelezo zaidi, piga namba 0715-101740
View attachment 70024View attachment 70025View attachment 70026

Gari liko DSM na limeshasajiliwa, bei piga namba hiyo.
You cant be serious. Kila kitu uweke hadharani isipokuwa bei?
Madalali bana!
Bora mtu ujinyooshee zako show room kuliko kumaliza air time yako eti kuulizia bei tu.
Acha nyodo wee dalali weka bei hapa...au unauza gari la shemeji yako?...mbona hujiamini?
Huweki bei huitaji kutuwekea namba na kutuchosha kukupigia bila sababu.
Natumai umetuelewa
Wanunuzi wa kweli, msibabaishwe na maneno kama haya. Gari ipo katika hali nzuri kabisa, imeagizwa toka Japan na imeshasajiliwa. Ni safi haina hata chembe ya vumbi kwa ndani, bado haijakutana na mafundi wa bongo wachakachuaji.