Mkuu siyo kwamba nakuona tapeli au nini, ninacho sema it pays to be transparent - watu wanaweza kukufikilia mambo mengi; you can't blame 'em - CAN U?
Kitu kingine mimi mwenyewe niliagiza gari kutoka Japan mwaka jana kwa ajili ya matumizi yangu kwa kupitia mtandaoni, sikupata tatizo lolote, walinifahamisha siku gari linasafirishwa kutoka Japan, meli husika, Kapteni wake Estimated Time of arrival, bill of laden inatumwa mapema zaidi ili ukamilishe mambo mapema. Ninacho taka kusema hapa ni kwamba hawafichi kitu chochote, sasa ndugu yangu kwa nini unaonekana hauko muwazi sana. Mimi nakupa ushauri.