Gari inauzwa prado

noweezy

Senior Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
103
Reaction score
93
Habar zenu wana jf nauza gar aina ya prado mwaka 2002 iko vizur.
Ipo zanzibar
Unaruhusiwa kuja na fund wako kuikagua siku nzima.
Sababu za kuuza ni matatizo ya kifamilia.
Bei sh mil 15.
0710198726.
Asaten.
 
mtanado gani' mod ondoa ujinga huu
 
Zanzibar ukileta bara ushuru utaambiwa 10m.Au ina namba za wapi?
 
Habar zenu wana jf nauza gar aina ya prado mwaka 2002 iko vizur.
Ipo zanzibar
Unaruhusiwa kuja na fund wako kuikagua siku nzima.
Sababu za kuuza ni matatizo ya kifamilia.
Bei sh mil 15.
0710198726.
Asaten.
Hii prado inatumia engine gani?
 
Lingekuwa hapa Dar sasahivi ningekupa pesa yako
 
Habar zenu wana jf nauza gar aina ya prado mwaka 2002 iko vizur.
Ipo zanzibar
Unaruhusiwa kuja na fund wako kuikagua siku nzima.
Sababu za kuuza ni matatizo ya kifamilia.
Bei sh mil 15.
0710198726.
Asaten.

Ni engine gani?, ya Petrol au Diesel? Ni ha viti vingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…