shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
ili kulipwa lazima traffic apime na atoe ripoti ya ajali. ripoti hio ndio itatumiwa na watu wa insurance kuamua unastahili kulipwa au la.....ukipata ajali na unahitaji bima wakulipe usitoe gari mpaka trafiki wapime....siku hizi competition kubwa kampuni nyingi hazina usumbufu kulipa......ukienda kwa broker ana list ya kampuni nyingi atakuchagulia ila kuwa makini na hawa brokers.
OK asante, brockers nawaogopa naona bora nikanunue direct, siku hizi naskia wanatoa feki pia