RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,852
- 137,101
Kuna percent laxima uilipe. Ina jina la kitaalam nimelisahau. Wanadai wanaiweka ili kukufanya uwe makini usizembee.
Excess.....
Kuna percent laxima uilipe. Ina jina la kitaalam nimelisahau. Wanadai wanaiweka ili kukufanya uwe makini usizembee.
comprehensive ni shilingi ngapi
Hilo limepigwa moto makusudically.......
1.third party-ukipata ajali analipwa uliemgonga endapo wewe una makosa ila wewe hutalipwa.
2.third party,fire and theft-hii kama hio hapo juu ila unalipwa iwapo gari itaungua au kuibiwa
3.comprehensive-hii unalipwa ukipata ajali[aidha una makosa au huna],gari ikiibiwa,gari ikiungua moto.
kama unataka peace of mind uwe na bima hio no.3
nb/;terms and conditions apply.....soma vi maandishi vidogo kwa umakini sana.