Wakuu nimepita eneo la Makumbusho muda huu na kukuta kuna gari inawaka moto pale jirani na ile restaurant iliyoko pembezoni mwa barabara. Kwa kuwa nilikuwa ndani ya gari sikuweza kupata taarifa kamili juu ya gari lile nini kilisababisha liungue na kama kuna majeruhi wowote.
Mwenye taarifa zaidi atujuze !!!!
Mwenye taarifa zaidi atujuze !!!!