nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,734
- 12,024
Salaam husika na kichwa habari,
Inahitajika.
Budget ni sh. Mil 3
kwanza unakula 2 halafu moja utalipwa kidogo,kidogo.
Gari inatakiwa iwe nzima haidaiwi kitu chochote.
Iweze kuruka mkoa fasta na kurejea Pwani.
Karibuni....
Kejeli,husda,na kuchanganyikiwa vinakaribishwa.