Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,075
I guessLabda bangi ndio ilikuwa imebeba gari.
I guessLabda bangi ndio ilikuwa imebeba gari.
Too hopelessMi shida yangu ni hao wanahabari walikuwa kwenye hiyo press conference, hivi hawawezi kuhoji details wanazopewa?? wanachukuwa kila detail bila kuitafakari??? Hivi katika hesabu ya kawaida kabisa, gunia moja lina weza kuwa na kilo 1000+ kweli?? Shame on you...😡😡
Aisee! Hata mie nimejuliza hilo swaliRPC kuiomba mahakama itoe adhabu kali kwa "watuhumiwa" tafsiri yake naitafuta. Alikuwa mahakamani au alikuwa anaongea na wanahabari? Maombi hayo kwa nini asisubiri mahakama ili awasilishe?
Majeruhi wawili wa ajali ya gari wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Pwani wakihusishwa na usafirishaji wa bangi magunia 7 yenye uzito unaodaiwa kuwa Kg 7,500.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani Jonathan Shana ameiomba mahakama kutoa adhabu kwali kwa watuhumiwa hao ikiwemo kutaifisha gari hiyo iliyotumika kusafirisha magunia hayo
Gari hiyo yenye namba za usajili T847 DHD aina ya IST ilikamatwa majira ya saa 5 asubuhi Kwa Mathias Wilayani Kibaha askari wakiwa doria walipata taarifa za gari kupata ajali kwa gari hiyo na kuwakoa majeruhi, walipoikagua gari hiyo waliikuta na magunia 7 ya bangi.
Chanzo: Mwananchi
Ndiyo maana kesi nyingi watu wanashinda tu kwa uzembe kama huu, kama maelezo hayo yapo kwenye hati ya mashitaka unitegemea nini!Ist tangu lini ikawa na uwezo wa kubeba tani 7.5?? Mhh chai hii