Kwa pesa ya Tanzania 334,110,000 x 2,050 = 684,925,500,000.00
Chungulia gari lenyewe likiwa kazini na mbwembwe zake.
Nipeni bei wajameni ..............
[/SIZE]
Wajameni kampuni ya Lithotech Export ndiyo ilishinda tenda ya kununua bvr kit
Hawa pia ndio waliwauzia bvr kit tume ya uchanguzi ya Msumbiji, zikiwa ni pamoja na;
Computer
Camera
Finger print reader
na printer
Oda ya Tanzania na Msumbiji zinafanana kila kitu isipokuwa bei;
Tanzania $ 6,816
Msumbiji $ 4,286
TOFAUTI $ 2,670
Hapana ndugu, naomba mnipatie bei zake wajameni !!!