Corona TI? Ninavyofahama ni Carina TI My road au Carina TIhabari wadau kuna rafiki yangu anahitaji gari aina ya TOYOTA CORONA T I!!mwenye nayo tuwasiliane lakini atoe sifa za hiyo gari pamoja na GHARAMA halisi............negotiable
jamani mbona kimya tena
Picha kidogo? Haipungui?Mimi ninayo carina TI ya mwaka 2002, ipo kwenye hali nzuri sana, haijawahi kuguswa engine, imetembea kilomita 78,000, engine size 1500 cc bei ni 8M
Mimi ninayo carina TI ya mwaka 2002, ipo kwenye hali nzuri sana, haijawahi kuguswa engine, imetembea kilomita 78,000, engine size 1500 cc bei ni 8M
jamani mbona kimya tena