Mzungu mwaka 1890 anagundua gari ya kwanza hiyo Mercedes Benz baada ilikua kama bajaji ina matairi matatu sisi leo hii 2026 tupo na bajaji sio kwamba tumechelewa hata safari hatujaanza.Mwaka 1955 mzungu anafanya haya mambo aseeh kweli sisi tumechelewa sana