Gari gani zuri la kuanzia maisha?

devinyo1987

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
269
367
Wakuu habari,

Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gani inanifaa Mimi, kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
 
Passo Racy
IMG_3747.png
 
Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont adise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako
Umesikia dogo.

Mshikaji anahitaji kujua gari ipi ya kuanza nayo maisha itamfaa kutokana na kipato chake.

Hajasema tumshauri either anunue gari au asinunue. Akinunua akaona linamshinda si ataliuza tu?
 
Wakuu habari ...naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo .ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati....je ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4...
Mwamba gari lolote linafaa kuanzia maisha
Ila kama kipato ni laki 4 ningekushauri suala la gari achana nalo kwa sasa
 
List ya magari bora ya muda wote kwa Mtanzania:

1.RAV4

2.Toyota Kluger

3.Honda CR-V

4.Subaru Forester

5.Suzuki escudo

6.Toyota Cami

7.Suzuki Kei

8.Suzuki Swift

9.Nissan X Trail

10.Terios kid

11.Harrier

12.Toyota Vanguard

13.

NB: Hizo namba hazionyeshi wala kumaanisha umuhimu wa gari, ni list tu.

Ongeza list ili mdau apate gari.
 
Back
Top Bottom