Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Chukua Jimny mkuu
IMG-20210721-WA0025.jpg
 
Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako
Mawazo ya kimaskini haya waweza wekeza hela yako huko na biashara isiende na hiyo hela isizalishe na mtaji ukayeyuka pia , achaneni kwanza na mawazo ya kuamini kuwa gari ni anasa wakati uwezo wa kununua gari dogo kwa kipato chako unao. mbona zipo gari zinazo himilika kwa watu wa kipato cha juu na kati?

kama una familia gari ni hitaji muhimu sana mambo ya mtoto joto limepanda usiku na nje kuna mvua boda boda anakwambia hadi mvua iishe ni mateso sana, mtoto anakufia mkononi eti kisa majirani wenye magari tena gari zenyewe suzuki kei 650cc 😅 hawapokei simu yako kisa wamelala ni ujinga wa kufikiri
 
Nilikuwa nataka feedback ya kile kiti.Subaru Forester ni bonge la gari ila sasa changamoto ni kile kiti cha dereva.
Mkuu! Subaru forester ina changamoto gani kwenye kiti cha dereva? Na je hiyo changamoto ipo hata kwenye Hizi wanaziita Mnyampura (Subaru Forester 2.0XT na 2.5 XT toleo la 2008-2012).

Maana nimezielewa sana na kibubu changu kimefikia hatua nzuri soon nawagongea hodi beforward.
 
2.5 XT toleo la 2008-2012 hii chukua mkuu bila kuhoji hoji mala mbili mbili
 
Mkuu! Subaru forester ina changamoto gani kwenye kiti cha dereva? Na je hiyo changamoto ipo hata kwenye Hizi wanaziita Mnyampura (Subaru Forester 2.0XT na 2.5 XT toleo la 2008-2012).

Maana nimezielewa sana na kibubu changu kimefikia hatua nzuri soon nawagongea hodi beforward.
Siti yake ya dereva imebonyea ndani sana kiasi kwamba ukikaa ni unaegemea sana ndani,yaani kiti kinakumeza kama unavyoona hiyo picha.Kwenye safari ndefu unakuwa unachoka sana kwa sababu muda wote unakuwa umemezwa ndani.
2415807_car_image_5.jpeg
 
Mawazo ya kimaskini haya waweza wekeza hela yako huko na biashara isiende na hiyo hela isizalishe na mtaji ukayeyuka pia , achaneni kwanza na mawazo ya kuamini kuwa gari ni anasa wakati uwezo wa kununua gari dogo kwa kipato chako unao. mbona zipo gari zinazo himilika kwa watu wa kipato cha juu na kati?

kama una familia gari ni hitaji muhimu sana mambo ya mtoto joto limepanda usiku na nje kuna mvua boda boda anakwambia hadi mvua iishe ni mateso sana, mtoto anakufia mkononi eti kisa majirani wenye magari tena gari zenyewe suzuki kei 650cc 😅 hawapokei simu yako kisa wamelala ni ujinga wa kufikiri
Kuwaza kumiliki gari wakati hauna stable income hayo ndiyo mawazo ya kimasikini zaidi na yatakupeleka kwenye ufukara
 
Hadi mtu anawaza kununua gari kashajipima na kujiona ana uwezo wa kulihimili sasa wewe ni nani hata umpangie mtu vitu vya kumiliki ?
 
Umesikia dogo.

Mshikaji anahitaji kujua gari ipi ya kuanza nayo maisha itamfaa kutokana na kipato chake.

Hajasema tumshauri either anunue gari au asinunue. Akinunua akaona linamshinda si ataliuza tu?
Hahaha jamaa una makavu
 
Back
Top Bottom