Niko kwenye harakati za ku-upgrade kidogo usafiri.Mahitaji yangu kifupi ni kama ifuatavyo:
1.Mwonekano mzuri wa nje na ndani
2.Space ya kutosha angalau watu wa5 comfortable.
3.Gari iwe ndefu kdg kwenda juu(means gari jamii spacio,tiida ni fupi sana).
4.Engine isiwe kubwa sana,5.Budget yangu ni 6.Lazima iwe automatic
7.Yenye 4wd ingefaa zaidi,japo kama haina sio big deal.
8.Muziki ni very high priority.Kama haina muziki wa kiwandani basi kuwe na uwezekano wa kuweka artificial.
Hizi ndo priority zangu,ambazo hazipo hapa(mfano speed) manake hazina point sana kwangu.
So far nilipofikia:
Kuna gari nimeshazimark ambazo angalau zinakaribia hizo specs,ila sijajua ipi ni best zaidi coz mi binafsi sijawahi kuziendesha.
1.Rav4 ya 2006,hii kdg inameet sema ni expensive.Pia nyingi naona zina 2360cc.
2.Subaru Forester ya 2007:Hii inameet sema nna kigugumizi kuhusiana na spare,mwenye ujuzi nazo ningeshukuru akinielezea.
3.Nissan Dualis,same as no 2.
4.Suzuki Grand Vitara ya 2006 na kuendelea,hii kigugumizi naona kama show yake inaweza isiruhusu kuweka radio ya kisasa,au ikiwekwa nahisi show itaharibika,mwenye ujuzi em anisaidie.
Nakaribisha ushauri,either kati ya hizi au kama kuna nyingine.