Gari gani itanifaa kati ya hizi?

Gari gani itanifaa kati ya hizi?

I think its more of a culture zaidi na kuigana.....ukienda SUA utakuta Spacio zimejaa kama nin ukienda UDSM utakuta Rav 4 za 1998 kama zote....lakini pia kuna magari ambayo ni common kwenye mkoa flan pia kwa mfano Dar Harrier, IST, RAV ni nyingi mno ukienda Arusha Subaru forest mpaka utafurahi.......
Umesahau Premio (2002-2007) wanaziita new model Dar ni za kumwaga sana
 
Niko kwenye harakati za ku-upgrade kidogo usafiri.Mahitaji yangu kifupi ni kama ifuatavyo:
1.Mwonekano mzuri wa nje na ndani
2.Space ya kutosha angalau watu wa5 comfortable.
3.Gari iwe ndefu kdg kwenda juu(means gari jamii spacio,tiida ni fupi sana).
4.Engine isiwe kubwa sana,5.Budget yangu ni 6.Lazima iwe automatic
7.Yenye 4wd ingefaa zaidi,japo kama haina sio big deal.
8.Muziki ni very high priority.Kama haina muziki wa kiwandani basi kuwe na uwezekano wa kuweka artificial.

Hizi ndo priority zangu,ambazo hazipo hapa(mfano speed) manake hazina point sana kwangu.

So far nilipofikia:
Kuna gari nimeshazimark ambazo angalau zinakaribia hizo specs,ila sijajua ipi ni best zaidi coz mi binafsi sijawahi kuziendesha.
1.Rav4 ya 2006,hii kdg inameet sema ni expensive.Pia nyingi naona zina 2360cc.
2.Subaru Forester ya 2007:Hii inameet sema nna kigugumizi kuhusiana na spare,mwenye ujuzi nazo ningeshukuru akinielezea.
3.Nissan Dualis,same as no 2.
4.Suzuki Grand Vitara ya 2006 na kuendelea,hii kigugumizi naona kama show yake inaweza isiruhusu kuweka radio ya kisasa,au ikiwekwa nahisi show itaharibika,mwenye ujuzi em anisaidie.
Nakaribisha ushauri,either kati ya hizi au kama kuna nyingine.

Rav 4 usiangalie CC..inaulaji wa mafuta wa kawaida sana..
Dualis kama unaangalia ulaji wa mafuta inakufaa..
Forester kama kigezo chako sio masuala ya mafuta..spear sio shida labda kama huna ela za fasta za kuimudu..ila this is the most perfect choice endapo ingekua mimi..
 
Unamaanisha Forester japo iko sawa na Dualis bado inakula mafuta zaidi?
 
Rav 4 usiangalie CC..inaulaji wa mafuta wa kawaida sana..
Dualis kama unaangalia ulaji wa mafuta inakufaa..
Forester kama kigezo chako sio masuala ya mafuta..spear sio shida labda kama huna ela za fasta za kuimudu..ila this is the most perfect choice endapo ingekua mimi..
Issue ya RAV 4 ni value for money......uki compare gari za namna yake na Rav 4 bei yake iko juu mno......naungana na wewe kwenye Forester
 
Kama moshi ESKODO ni nyingi mno kwasababu ya Tope linatereza kupanda mlimani migombani huko
Escudo Masawee nilikua nazichukulia poa,kuna siku kalitupitisha kwny sehemu yenye matopee mengi balaa yani kalipita kama tuko kwny lami vile.
 
Unakuta MTU anataka gari lenye nafasi hapohapo linalochukua space ndogo ya packing hapo hapo lililojuu huku lisile mafuta(1000cc) kama VP nunue nyungo mpae basi, ungo mmoja mnajaa hata mia na kupaki hata juu ya mapaa mnapaki, mafuta hautumii kabisa, speed ndio usiseme
Duuuh hatari sana
 
Back
Top Bottom