Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,762
- 8,003
kama una hela chukua v8 vx hakuna trafiki wa kulisogelea.
kama huna hela baki na spacio yako
kama huna hela baki na spacio yako
Yani hakuna gari nisiyoipenda kama alphad yani ni litakataka kubwa jinga flani hivi mgali mkuuuuubwa hata parking shidaYani unamshauri mwenzio anunue kibasi?![]()
![]()
Chukua subaru mkuu zile SUV naona ziko nyingi siku hizi so hata spea zitakua za kumwaga na bei inacheza humo kwenye bajeti yako ya milioni 20 iyo milioni mbili utaenda kwa diki sound akufungie mziki na kujaza full tank mwezi mmoja wa mwanzoProbm ya Alphard ni fupi sana.Nahisi hata mafuta iko juu.Mi nahitaji cross over,iliyo juu,if possible na 4wd,na pia mafuta angalau 2000cc.Lakin iwe na mwonekano presentable kias
Subaru kwani yuko arusha?Chukua subaru mkuu zile SUV naona ziko nyingi siku hizi so hata spea zitakua za kumwaga na bei inacheza humo kwenye bajeti yako ya milioni 20 iyo milioni mbili utaenda kwa diki sound akufungie mziki na kujaza full tank mwezi mmoja wa mwanzo
Tatizo watu wengi hawaelewi ninunue gari lipi kwa shughuli ipi kisa umaskini, MTU anakaela kidogo anataka anunue gari litakalofiti kila idara mpaka shamba limlimie, alphard ni moja best family carYani hakuna gari nisiyoipenda kama alphad yani ni litakataka kubwa jinga flani hivi mgali mkuuuuubwa hata parking shida
Unaweza kutuambia changamoto za nissan with facts?Bajeti yako ni bei gani?
Kama unamudu RAV4 ya mwaka 2006 basi unamuda Subaru Forester ya mwaka 2008 au 2009,ila isiwe ya mwaka 2007. Pia unamudu Toyota Vanguard zote hizo ni gari nzuri. Kuhusu Nissan ina changamoto zake kuliko hata Subaru. Opt kuchukua Subaru 2008 au 2009,Vanguard ya mwaka 2006 au 2007 au Harrier ya mwaka 2006 ya cc2360 engine ya VVTi(2AZ-FE)
Ingawa hujasema bajeti umejipangaje
Lakini hizo gari hakuna inayopungua Tsh 20m/± na kuendelea!
ha ha ha ha ah ha hata dar wapo mkuu wana chama chao pia nazani ni tawi la chama cha arusha na arusha itakua makao makuuSubaru kwani yuko arusha?
Ahahaaa arusha na Subaru bna .hivi ni kwanini eti?ha ha ha ha ah ha hata dar wapo mkuu wana chama chao pia nazani ni tawi la chama cha arusha na arusha itakua makao makuu
Ni upepo tu wa vijana wanaopenda ma mbio mbio hata chuo cha ushirika hapa moshi wafanyakazi 70% wana drive subaru nazani kwasababu ya ugumu wake piaAhahaaa arusha na Subaru bna .hivi ni kwanini eti?
Bajeti yako ni bei gani?
Kama unamudu RAV4 ya mwaka 2006 basi unamuda Subaru Forester ya mwaka 2008 au 2009,ila isiwe ya mwaka 2007. Pia unamudu Toyota Vanguard zote hizo ni gari nzuri. Kuhusu Nissan ina changamoto zake kuliko hata Subaru. Opt kuchukua Subaru 2008 au 2009,Vanguard ya mwaka 2006 au 2007 au Harrier ya mwaka 2006 ya cc2360 engine ya VVTi(2AZ-FE)
Ingawa hujasema bajeti umejipangaje
Lakini hizo gari hakuna inayopungua Tsh 20m/± na kuendelea!
Kama ni mtu wa Dar ni mara chache anaweza kufikia speed ya 80-100 km per hUsipoteze muda nenda kwenye Harrier yenye engine ya 2AZ-FE,hiyo cc 2360 isikutishe,hiyo engine ni VVTI iko vizuri sana kwenye kutafuna mafuta,inakwenda mpaka km 13 kwa lita 1 kwenye high way( speed 80-110 km/h)...
I think its more of a culture zaidi na kuigana.....ukienda SUA utakuta Spacio zimejaa kama nin ukienda UDSM utakuta Rav 4 za 1998 kama zote....lakini pia kuna magari ambayo ni common kwenye mkoa flan pia kwa mfano Dar Harrier, IST, RAV ni nyingi mno ukienda Arusha Subaru forest mpaka utafurahi.......Ni upepo tu wa vijana wanaopenda ma mbio mbio hata chuo cha ushirika hapa moshi wafanyakazi 70% wana drive subaru nazani kwasababu ya ugumu wake pia
Toyota RAV4 4,za uk 2013,diesel ni milioni 63...Budget nimesema, <=22M.Hizo Toyota Vanguard zote ni 2360cc si ndio?Hata bei yake nahisi iko nje ya budget yangu.
Kama moshi ESKODO ni nyingi mno kwasababu ya Tope linatereza kupanda mlimani migombani hukoI think its more of a culture zaidi na kuigana.....ukienda SUA utakuta Spacio zimejaa kama nin ukienda UDSM utakuta Rav 4 za 1998 kama zote....lakini pia kuna magari ambayo ni common kwenye mkoa flan pia kwa mfano Dar Harrier, IST, RAV ni nyingi mno ukienda Arusha Subaru forest mpaka utafurahi.......
AhahaaaKama moshi ESKODO ni nyingi mno kwasababu ya Tope linatereza kupanda mlimani migombani huko
KLUGER.Niko kwenye harakati za ku-upgrade kidogo usafiri.Mahitaji yangu kifupi ni kama ifuatavyo:
1.Mwonekano mzuri wa nje na ndani
2.Space ya kutosha angalau watu wa5 comfortable.
3.Gari iwe ndefu kdg kwenda juu(means gari jamii spacio,tiida ni fupi sana).
4.Engine isiwe kubwa sana,5.Budget yangu ni 6.Lazima iwe automatic
7.Yenye 4wd ingefaa zaidi,japo kama haina sio big deal.
8.Muziki ni very high priority.Kama haina muziki wa kiwandani basi kuwe na uwezekano wa kuweka artificial.
Hizi ndo priority zangu,ambazo hazipo hapa(mfano speed) manake hazina point sana kwangu.
So far nilipofikia:
Kuna gari nimeshazimark ambazo angalau zinakaribia hizo specs,ila sijajua ipi ni best zaidi coz mi binafsi sijawahi kuziendesha.
1.Rav4 ya 2006,hii kdg inameet sema ni expensive.Pia nyingi naona zina 2360cc.
2.Subaru Forester ya 2007:Hii inameet sema nna kigugumizi kuhusiana na spare,mwenye ujuzi nazo ningeshukuru akinielezea.
3.Nissan Dualis,same as no 2.
4.Suzuki Grand Vitara ya 2006 na kuendelea,hii kigugumizi naona kama show yake inaweza isiruhusu kuweka radio ya kisasa,au ikiwekwa nahisi show itaharibika,mwenye ujuzi em anisaidie.
Nakaribisha ushauri,either kati ya hizi au kama kuna nyingine.