Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

inaanzia laki saba na nusu pungufu unaongea dada yangu kama unahitaji nipigie simu
 
picha haziuzwi kabati la vyombo na vyombo vyake inaanzia laki tano na ishirini,la nguo naanzia na laki nne na themanini.kama una maongezi nipigie.Gari inaanzia na milioni saba na nusu pungufu unaongea
 
Back
Top Bottom