ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,391
- 4,675
Vitu vifuatavyo vinauzwa kwa pamoja:
Vitu vyote hivi vipo Wilaya Hai mkoa wa kilimanjaro na vinauzwa vyote kwa pamoja na atakeyevinunua atalipa asilimia 25 kwanza kisha atatakiwa kulipa kiasi kinachobaki ndani ya siku 14.Bei ya kuanzia ni shilingi milioni 32
Nifuate PM kwa maelezo zaidi.
- Mabati 65 ya kawaida ya mita 3
- Nyumba moja ya vyumba vitatu iliyopo Chanika Dar es Salaam
- Nyumba mbili zilizofika kwenye lenta moja ina vyumba vitatu jiko sebule na dining na choo nyingini ina vyumba viwili kimoja self na choo cha nje
- Vitanda vitatu na magodoro yake kimoja cha sita kwa sita
- Meza 4 za ofisi
- Dining table ya round na viti sita
- Friji yenye freeze kubwa
- Kabati dogo la vyombo
- Seti ya sofa za kitamba 3+2+1+1
- Meza ndogo za sebuleni mbili moja ya kioo
- Gari ndogo Toyota Carina inayotembea
- Computer desktop 2 na mini laptop mbili
- TV ya Hitachi na stand yake
- Stand moja ya flat screen TV
- Jiko la gas la plate mbili nikai na mtungi wake
- Jiko moja la dogo la ges
- Injini na Gia box ya gari ya kurekebeisha
- Rims 2 za magari sizi 14
- Viti 10 vinavyofaa kwa shule ya msingi au sekondari
- Wireless router moja
- Mke na mtoto mmoja wa mwezi mmoja,(Ni muhimu)
Vitu vyote hivi vipo Wilaya Hai mkoa wa kilimanjaro na vinauzwa vyote kwa pamoja na atakeyevinunua atalipa asilimia 25 kwanza kisha atatakiwa kulipa kiasi kinachobaki ndani ya siku 14.Bei ya kuanzia ni shilingi milioni 32
Nifuate PM kwa maelezo zaidi.