nitumie namba ya huyo jamaa nimsaidie kunua hiyo gari anicheki kwa 0765506050mkuu brevis ni gari za umeme system yake kwaiyo ni rais sana kupata short zinaitaji mafundi makini sana ndio mana kwa bongo hatuziwezi na sikushauli kwanza fuel consumption yake ipo juu na kuuza ni issue kuna jamaa yangu amenunua 12M na sasa analiuza 6M mpaka sasa miez 8 imepita hajapata mteja