Gari aina ya Toyota Brevis

Gari aina ya Toyota Brevis

Always cheap is expensive and risk, wewe kimbilia kwenye carina TI na vitz but husijelalamika badae kuwa hazitulii road just incase ukiwa safarini......kama mbavu zinaruhusu jitie tu kwenye pamba nyepesi brevis........
 
Gari ya toyota iliyotengenezwa kupambana na 3 series ni Lexus IS. Brevis ilitengenezwa kwa ajili ya young drivers na duniani haikua na mauzo mazuri saana kama ilivyo kwa Lexus IS.

Mkuu kama umeisoma historia ya brevis vizuri na kuielewa, then ukaangalia na videos zake YouTube basi utanielewa vizuri......kwanza lexus ni kampuni mama ya Toyota tu, na wakati lexus IS inatoka ujue brevis ilikua sokoni tayari.....brevis ilivyotoka CEO wa toyota alisema kabisa kwenye clip yake kuwa wamejaribu kuleta gari itakayopeleka ushindani ulaya na specifically aliilenga bmw series 3 kwa wakati hule......ndio maana brevis angalia hata milango yake haitofautiani sana gari nyingi za ulaya coz imewekewa mfumo wa sound isolation. Kama hauamini jaribu kuchukua mark X na brevis zifungue mlango alaf funga utagundua kitu
 
Acheni woga wa maisha brevis cha kwanza inausalama, inabalance nzuri road, modern car, kama gari utaitunza yanini kuogopa kuwa itakuharibikia, kama unaenda safari ukitembea 120 kph kushuka chini waweza kutoka dar to dom kwa nusu tank, pia ni gari ambayo huwa inafananishwa na BMW series 3 coz brevis ilitolewa hili kushindana na bmw s3 kwenye soko, brevis ukitumia D4 VVTI 300i huwa inatembea sawa na prado TX ya 2004, but D4 vvti 250i huwa inakua na moto wa kawaida road.
Pia brevis ni luxury sana ndani, sound isolation system ipo, navigation system, airbag 4, abs brake system, traction control,

Kama hautaogopa mafuta nakushauri nunua, but kama umezoea vitz na passo basi brevis acha tu haitakua useful kwako...

Nimekuelewa sana MKUU SAIMON111
 
Mkuu kama umeisoma historia ya brevis vizuri na kuielewa, then ukaangalia na videos zake YouTube basi utanielewa vizuri......kwanza lexus ni kampuni mama ya Toyota tu, na wakati lexus IS inatoka ujue brevis ilikua sokoni tayari.....brevis ilivyotoka CEO wa toyota alisema kabisa kwenye clip yake kuwa wamejaribu kuleta gari itakayopeleka ushindani ulaya na specifically aliilenga bmw series 3 kwa wakati hule......ndio maana brevis angalia hata milango yake haitofautiani sana gari nyingi za ulaya coz imewekewa mfumo wa sound isolation. Kama hauamini jaribu kuchukua mark X na brevis zifungue mlango alaf funga utagundua kitu

Asante mkuu@saimon111
 
Poa ndugu, thanks for info. Nitajaribu kiusoma niijue vizuri. Ni kweli, naiona imekaa ki European fulani hivi.
 
Mkuu Saimon umenena vema, sitetei eti kwa sababu nina brevis, ila watu wameongea sana si kwa vigezo, gari ni matumizi yako tu, hata kama ni 109,
Nina brevis nimeinunua mwezi November mwishoni na nikaipokea December , nimeifanyia kazi usiku na mchana, hata kwenye rough road, safari ya kwanza ilikuwa toka Dar mpaka Tabora, then nikapiga kazi Tabora takribani mwezi, nako nimetembea kwenye njia mpaka za ng'ombe, kisha nikanyooka Shinyanga, baadae Dar, nimefika Dar nimeingia nayo field mkoa wa pwani, kwa miezi minne, na sasa niko Dar, sijawahi kupeleka kwa fundi kamwe zaidi ya normal services za kumwaga oil na etc.

Fuel consumption naiona iko kawaida tu, ni comfortable car na ina uwezo mkubwa, lkn nisisahau , ili chukuliwa na rafiki yangu ikaenda Same na ikarudi, kimsingi tangu niiagize inapiga kazi ngumu daily na iko pou wa
 
Ni kweli mkuu, ndio maana kuna watu unakutana nae anagari namba T***AAA, lakini unakuta imesimama kuliko hata mwenye namba C au hata D ya mwanzo.......kila kitu ni jinsi unavyokitunza tu mkuu nacho kitakutunza wala huwa siamini katika usemi wa "gari flani usinunue ni kichomi".

Mfano gari kilometers za service zimefika alaf unaiburuza tu, then ikija kunock engine mtu anasema engine za hiyo gari kimeo.
 
Baloon ziliharibiwa soko na gx100

Gx100 zikaharibiwa soko na gx110 grande

Gx110 zikaharibiwa soko na verossa

Verossa zikaharibiwa soko na brevis

Brevis zikaharibiwa soko na mark x

Mark X zinakujaharibiwa na crown athlete

Crown athlete zitaharibiwa na nissan fuga

Sijamuona premio na uncle Tezza
 
Baloon ziliharibiwa soko na gx100

Gx100 zikaharibiwa soko na gx110 grande

Gx110 zikaharibiwa soko na verossa

Verossa zikaharibiwa soko na brevis

Brevis zikaharibiwa soko na mark x

Mark X zinakujaharibiwa na crown athlete

Crown athlete zitaharibiwa na nissan fuga

ila bwana CARINA soko lake lipo pale paleee
 
Kamani mbona amjamtaja huyu mdogo wao ist nae anashambulia vzr ktk klabu za tz
 
Msema nyie gari utunzaji mbona unadharau... Kwan yy c mtanzania na amejihidi au tanzania leo imekuwa na matabaka hayonikimbuka toka uhuru babu zetu walitumia bito na tena wenye hiyo gari waliesabika ktk nchi hii... Mshukuru mungu usidharau watanzania wenzio ss wasipokuwa matela nani atakuwa tela wacha hizo
 
Umekurupuka usingizini bro, rudi kulala tena muda wakuamka bado
 
Gari ya toyota iliyotengenezwa kupambana na 3 series ni Lexus IS. Brevis ilitengenezwa kwa ajili ya young drivers na duniani haikua na mauzo mazuri saana kama ilivyo kwa Lexus IS.

Mkuu upo sahihi kabisa,gari iliyotengenezwa na toyota kushindana na 3 series ni Lexus IS 200/300.Brevis wala sio mshindani wa 3 series.nilikua namiliki Is200 manual ya Uk ndio ilikua na viwango vya kushindana na 3 series.
 
Wenda huko ww wacha kujibaraguza waweza kuta huna hata baiskeli wacha upimbi
 
Wakuu nipo nje ya brevis na mm nilikuwa nahitaji niagize premio e ya 1998 cc 1800 nipatieni ushauri kuhusu comfortability, na fuel consumption engen ni 7a
 
Model ya mwaka gani ?
 
Back
Top Bottom