You are right mkuu.Ushauri mzuri sana lakini sio sahihi.
Kila mtu anaishi ndoto zake haijalishi kwa gharama gani, kitambo nilikuwa viushauri kama huu kuhusu gharama, baadae nikagundua ulikuwa ushauri duni na wa kimasikini.
Watu waishi ndoto zao kwa nafasi zao
Ushimen
Karibuni wakuu, gari bado ipo sokoni
Nafikiri hataki kujulikana kama anauza gari maana majirani utasikia kafulia huyo.Naomba nikutowe wasi wasi mkuu, kwa wanao nifahamu hapa JF, nimesha fanya biashara nyingi na watu wengi hapa JF.
Niliamuwa kuziba baadhi ya herufi kwa sababu zangu binafsi, lakini gari ni yakwangu na haijawahi kuhusika na tabia mbaya zenye kuleta mashaka yeyote.
Karibu sana mkuu
Nakupa 6M cash MzeeBado sijaiuza, karibu kwa mwenye uhitaji