Namba ya gari??Naweza kupata namba yako tafadhali?
Umeamua kuongeza living cost mkuu. Gari kubwa kidogo na bajeti ya mafuta itaongezekaHapana mkuu, chuma bado ipo vizuri.
Nimeamua kuiuza kwasababu ya kero za wife tu kwamba anataka gari nyingine kubwa kidogo zaidi ya hii
Mikoani unatuma?Karibuni wateja, chuma bado ipo sokoni.
Kuiona ruksa, kuikaguwa ruksa, kuijaribu ruksa
Ukweli gari upo vizuri chief, wife amekua akiiendesha kwa nidhamu na uoga.
Yaani ni gari ya home to job na kinyume chake.
Tumeamua tu kubalisha gari mkuu