Gari aina ya IST namba D inauzwa

Gari aina ya IST namba D inauzwa

Mfuate huyo bargaing yako nimeona kwenye moja ya group za Fb.@Ushimen,
Screenshot_20191127-231637_Facebook~2.jpeg
 
ushimen
.
Nakupigia hupatikani mkuu! Namba yangu imeishia 75 niko serious nahitaji hii gari.
 
Karibuni sana ndugu, jamaa na marafiki.
Hii chuma ipo vizuri, njoo kaguwa na fundi wako.
 
Ushimen
Gari na bei yake ni nzuri, ila kwa nini umeziba/futa sehemu ya plate number? Kwama gari haina tatizo/ wizi, nashauri uweke tu namba zionekane vizuri. Kufuta namba itawaletea watu wasiwasi na maswali mengi
 
naitaka ile yenye 'kengele'. siku ukiiweka mnadani tufike bei.

nakutakia biashara njema mtani wane. IST ni gari imara na yenye kuujua na kuulinda uchumi wa mtumiaji wa kitanzania.
 
Gari na bei yake ni nzuri, ila kwa nini umeziba/futa sehemu ya plate number? Kwama gari haina tatizo/wizi, nashauri uweke tu namba zionekane vizuri. Kufuta namba itawaletea watu wasiwasi na maswali mengi
Naomba nikutowe wasi wasi mkuu, kwa wanao nifahamu hapa JF, nimesha fanya biashara nyingi na watu wengi hapa JF.

Niliamuwa kuziba baadhi ya herufi kwa sababu zangu binafsi, lakini gari ni yakwangu na haijawahi kuhusika na tabia mbaya zenye kuleta mashaka yeyote.

Karibu sana mkuu
 
Namba za simu umeweka wazi, namba za gari umeficha!!!!!!
Namba za simu always naziweka wazi kwasababu mimi ni mfanya biashara.
Na sioni sababu ya kuficha namba zangu za simu kwasababu sina chembe wala lepe la mashaka mkuu, na hili ninaliweka wazi bila tashwishwi kabisa.
Karibu mkuu, gari bado ipo. Njoo uikaguwe na fundi wako kisha utie mafuta basi urudi zako Dar es Salaam.
 
Naomba nikutowe wasi wasi mkuu, kwa wanao nifahamu hapa jf, nimesha fanya biashara nyingi na watu wengi hapa jf.
Niliamuwa kuziba baadhi ya herufi kwasababu zangu binafsi, lakini gari ni yakwangu na haijawahi kuhusika na tabia mbaya zenye kuleta mashaka yeyote.
Karibu sana mkuu

Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako. Yalikuwa mawazo yangu tu ili kuondoa maswali kwa watu.
 
naitaka ile yenye 'kengele'. siku ukiiweka mnadani tufike bei.

nakutakia biashara njema mtani wane. ist ni gari imara na yenye kuujua na kuulinda uchumi wa mtumiaji wa kitanzania.
Ahsante sana mkuu, karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom