gari aina ya alteza....

mkuu ongea ukweli ili umsaidie jamaa kufanya maamuzi sahihi. Ukisema lita 6 kwa kilometa 100 ni sawa na kusema 1Lt kwa zaidi ya km 16 ktu ambacho si kweli kabisa. Let us stick to the average consumption of 1Ltr per 9Km at least it gives sensé!

Labda duet hiyo.cc Elli
 
Last edited by a moderator:
Imagine...just imagine...out of 12M unataka nini aisee...lol hope kijana anasoma apa...apo kwa speed ni kwamba ukitoa macho kwa dashboard ukija chungulia inaitafuta 170Km/hr...weka mbalina watoto
Kaka umetimiza wajibu kama ni ushauri tosha umetoa!!!
 
Kaka umetimiza wajibu kama ni ushauri tosha umetoa!!!

mlivyoipamba hio mashine kama kweli jamaa alikuwa anataka ushauri lazima anunue.....for some reason katika hizi gari tatu gx 110,verossa na altezza mimi napenda gx110
 
Ha ha haa kaka naona umeamua kumshauri kijana wako labda watu wanataka anunue 4E-FE ili anuse wese,kimbembe safarini sasa kanavuma mpaka body na dashboard unavisikia!!!!!!!

Nina 4E- FE cc 1332. Huu mwaka wa 3! Safari zangu Dar - Songea, Dar - Mbeya, Dar - Mpanda n.k. Kwa miaka 3 hiyo nimefikisha km. 73,000 za Mimi kutembea nayo. (Ilikuja na 80,000km sasa ipo juu kidogo ya 150,000) Gari ipo stable hata ukifika 210kph (max speed 220km/h) Ulaji petroli kutoka Dar Mwenge Puma filling station hadi Moro Msamvu puma filling station ni Lita 11.6 Moro - IRINGA Lita 17, IRINGA - Njombe Lita 16, Njombe - Songea Lita 19. Ni Corolla 111 Manual transmission. Kwa hiyo mwenye kutaka unafuu wa matumizi ya mafuta nunua gari isiyo zidi cc 1500.
 
alteza mpango mzima yangu inakata mawimbi,cjui nami ntapata serengeti boyz wa kutosha
mlivyoipamba hio mashine
kama kweli jamaa alikuwa anataka ushauri lazima anunue.....for some
reason katika hizi gari tatu gx 110,verossa na altezza mimi napenda
gx110
 

una moyo.....corolla unakimbia hadi 210kph....hongera
 
mlivyoipamba hio mashine kama kweli jamaa alikuwa anataka ushauri lazima anunue.....for some reason katika hizi gari tatu gx 110,verossa na altezza mimi napenda gx110

sawa....lkn....mimi...hapo naizimia sana alteza
 
Alteza engine beam 2000 inakula wese sana, iwe 1g vvti ndio inakula kidogo n haisumbui
 
mlivyoipamba hio mashine kama kweli jamaa alikuwa anataka ushauri lazima anunue.....for some reason katika hizi gari tatu gx 110,verossa na altezza mimi napenda gx110

Ha ha ha kaka sio the best ila kwa Kijapenga na budget za kibongo anaweza asijute though ingekuwa liwalo na liwe ningemtupa kwa Compressor!!!!!

Yeah 110 Mark 11 Grande ina sababu zake kama unavyosema kuanzia shape mpaka pale ndani kwa wooden finish kwa mimi naiona ipo official sana na Altezza is more Sporty thus kwa familia na wafunga tie humu (110) anakaa safi zaid! !!!!!!

Pia ina long base ambayo naamini inaongeza stability sababu ya area covered na uzito may be!!!
 

Mmmmmh lucky you!!!!
I had one ya Hong Kong though ina body kama ya 100 ioikuwa na hiyo Engine na odo ya 220 sijawahi gusa 200km/hr as ukifika 190km/hr inavuma sana na inakosa grip ni kama inakuwa buoyant flan hivi sasa hii hatari ilikuwa kubwa kuikabili mkuu kama unapiga 200km/hr hapo RPM inakuwa ngapi sasa na.kwa nini consumption ibaki hiyo unayosema,nadhani hiyo consumption unaipatakwa speed ya 110km/hr na RPM ukae kwa 2-2.8!!!!

Much as una experience nayo twende hivyo
 

Duuh umeipamba mpaka nimepata mzuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…