🤝Tusubiri wadau wenye uwelewa na hii kitu. Mkuu
Ungeweka na picha ya mifuko yenyeweHabarini Wakuu.
Naomba kujuzwa uchanganuzi mzima wa kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko hii ya 'twende sokoni ' au kwa jina jingine maarufu mifuko ya 'connection'
Faida yake ,mashine zinazohitajika na mambo mengine mengine yote. .
Asante.
Ungeweka na picha ya mifuko yenyewe
Mkuu wamiliki wa hyo biashara siyo kwamba Wana viwanda,hapana hyo siyo kiwanda kidogo kutengeneza hyo ni kiwanda kikubwa maana utahitajika uwe na mashine ya starex au kwa jina jingine extruder hyo ni mashine kubwa sana. Pia unahitajika uwe na mashine ya looms pia ni kubwa sana. Wanavyofanya hao wamiliki wa hyo biashara ni wanakuja na design Yao na size kwenye viwanda mfano pale Azam,Tazara au Azania Kisha wanaonesha sampo Yao wanatengenezewa Kisha wanaipeleka sokoni. Msingi wa hyo biashara ni kama laki 5 unapata mifuko yenye logo yako kama mifuko elfu 10 hiviHabarini Wakuu.