Wavuta bangi wawili walikaa wakiangalia jengo refu Dar, mmoja akamuuliza mwenzake, hivi ukiruka kutoka juu mpaka chini utachukua siku ngapi? mwenzake akamjibu kuwa ni siku 3. akauliza, oya ukifika chini utakufa?. akajibiwa lazima ufe kwani siku 3 huli wala hunywi si utakufa mshkaji.