Wadau wa kucheza magame, katika games ambazo nimecheza mpaka mwisho (Max) ni;
1.Freedom Fighters
2.Needs For speed Most wanted
3.IGA
4.Call for Duty
5.Euro truck Simulator
6.Grand Theft Vice City
We mdau wa games ni games gani ulishacheza mpaka mwisho?
Yassin member akiwa na miaka 21 aliteka ndege na kumshinikiza nyerere aachie ngazi
Capt zakaria hanspope akiwa na miaka 25 alitaka kufanya mapinduzi
..
Kijana wa sasa hivi wa miaka 26 anashinda kwenye playstation

Mkuu je hizi ni offline games?Wadau wa kucheza magame, katika games ambazo nimecheza mpaka mwisho (Max) ni;
1.Freedom Fighters
2.Needs For speed Most wanted
3.IGA
4.Call for Duty
5.Euro truck Simulator
6.Grand Theft Vice City
We mdau wa games ni games gani ulishacheza mpaka mwisho?
hahaa we jamaa utakuwa na maisha magumu na unapata tabu sanaaa...Yassin member akiwa na miaka 21 aliteka ndege na kumshinikiza nyerere aachie ngazi
Capt zakaria hanspope akiwa na miaka 25 alitaka kufanya mapinduzi
..
Kijana wa sasa hivi wa miaka 26 anashinda kwenye playstation
Kwenye ets 2 hapo msaada tafadhali...nimecheza mpaka level ya 32 nikiwa na rank ya elite...naona haina mwisho...alafu kupata skills na rank ni kwa mbinde sanaa mpaka nimechoka kuendesha gari sasa nimeamua kuwapokonya magar watu nimeyauza yoteee,nimefukuza kazi kila mtu,nimepiga bei gerej zote nimeamua kuachana nalo! We umefika level ya ngap na rank gani ndio mwisho?Wadau wa kucheza magame, katika games ambazo nimecheza mpaka mwisho (Max) ni;
1.Freedom Fighters
2.Needs For speed Most wanted
3.IGA
4.Call for Duty
5.Euro truck Simulator
6.Grand Theft Vice City
We mdau wa games ni games gani ulishacheza mpaka mwisho?
Ah haa haaa. Ww jamaa umeua uchumi wa Euro truck...naamaanisha kupata rank zoteKwenye ets 2 hapo msaada tafadhali...nimecheza mpaka level ya 32 nikiwa na rank ya elite...naona haina mwisho...alafu kupata skills na rank ni kwa mbinde sanaa mpaka nimechoka kuendesha gari sasa nimeamua kuwapokonya magar watu nimeyauza yoteee,nimefukuza kazi kila mtu,nimepiga bei gerej zote nimeamua kuachana nalo! We umefika level ya ngap na rank gani ndio mwisho?