donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
- Thread starter
- #41
Mi mwenyewe its my dreamOne day lazima niwe na setup kama hiyo.
Mi mwenyewe its my dreamOne day lazima niwe na setup kama hiyo.
Sure mkuuAisee tunatofautiana sana.....I respect huo utofauti
Hahahahahajaa huyu wa wapi huyu unajua game inaladha kuliko papuchi kwa mfano ndio game zile za mission alaf unebakiwa na energy kidogo alaf ndio upo katika tough stuation hapo hata kama ukiitwa ukaambiwa papuch hii hapa utasema suburi kidogoItakuongezea nini hiyo zaidi ya kukudumaza akili¿
Mi napenda online multiplayer games, nazocheza sana ni Overwatch na PUBG mara moja moja League of Legends.Unacheza zipi Mkuu?
Nilishapost humu kipindi flani. Sio fancy wala maurembo kibao napenda kitu simple and clean.Kapicha tuwekee mkuu
Ha ha ha ha ha, Mkuu kipendacho roho hula nyama mbichi.mi naona maisha mazuri tu, mnawaza magemu wakati juzi kati mlikuwa mnamlilia magufuli njaa? bora akaze vyuma
Kabisa, one thing abt games inakukeep busy mpaka unasahau mambo mengine.Hii ukuinstall getho safi sana
Bar watakusahau
. After Job Ni Kwnye Game mpaka Kukuche ..
Hahah, hapo ukute upo kwenye sniper elite, umeachia risasi af jinsi inavyotoka hadi inavyoenda kuingia kwenye kiungo cha mtu na kukitawanya hadi mwili unasisimka. Kuna siku nlipiga one shot nkaua 5 tangos, aisee nlitaman ingekua kama games za soccer kuwe na replayHahahahahajaa huyu wa wapi huyu unajua game inaladha kuliko papuchi kwa mfano ndio game zile za mission alaf unebakiwa na energy kidogo alaf ndio upo katika tough stuation hapo hata kama ukiitwa ukaambiwa papuch hii hapa utasema suburi kidogo
Kwenye console gan mkuuMi napenda online multiplayer games, nazocheza sana ni Overwatch na PUBG mara moja moja League of Legends.
Daaah mkuu umetisha sana. Hiyo cpu ni monsterNilishapost humu kipindi flani. Sio fancy wala maurembo kibao napenda kitu simple and clean.
Nilipost zamani ikiwa hivi
View attachment 601407
ila sasa hivi nimeupgrade monitor nimebeba yenye reshresh rate ya 140Hz. Na Nikanunua gaming mouse na keyboard. GPU natumia GTX1070 sikuona sababu ya kuupgrade maana hadi sasa hivi games zangu zote nazocheza zinasukuma 140FPS.
Sasa hivi iko hivi
View attachment 601409
Hilo li desktop tower hulioni kwenye picha ya pili kwa sababu nimelijengea sehemu yake yenye ventilation vizuri nikaliweka, ukicheza game GPU inachemka sana na kwa kua natumia normal fans zinazunguka kwa speed so nimeliweka sehemu cool alafu inasaidia kupunguza kelele za fan.
Nani alikua analilia mkuu?mi naona maisha mazuri tu, mnawaza magemu wakati juzi kati mlikuwa mnamlilia magufuli njaa? bora akaze vyuma
Daaah uko vizuli glaph.one day nami Nita IGA maujanja yoko. SaluteeNilishapost humu kipindi flani. Sio fancy wala maurembo kibao napenda kitu simple and clean.
Nilipost zamani ikiwa hivi
View attachment 601407
ila sasa hivi nimeupgrade monitor nimebeba yenye reshresh rate ya 140Hz. Na Nikanunua gaming mouse na keyboard. GPU natumia GTX1070 sikuona sababu ya kuupgrade maana hadi sasa hivi games zangu zote nazocheza zinasukuma 140FPS.
Sasa hivi iko hivi
View attachment 601409
Hilo li desktop tower hulioni kwenye picha ya pili kwa sababu nimelijengea sehemu yake yenye ventilation vizuri nikaliweka, ukicheza game GPU inachemka sana na kwa kua natumia normal fans zinazunguka kwa speed so nimeliweka sehemu cool alafu inasaidia kupunguza kelele za fan.

Mkuu ametisha kwa kweliDaaah uko vizuli glaph.one day nami Nita IGA maujanja yoko. Salutee![]()
![]()
![]()
![]()