Gamers:- imagine you had this setup...!!!!

2mil? Haha in Tzs au USD? Kama unaongelea tzs then sahau hapo 2mil hata hiyo desktop PC yenyewe hainunui.

Game setup kama hiyo unakuta kila kitu high end. 2mil utaishia kununua GPU labda ukijibana sana unaweza nunua na CPU. Hii setup unahitaji kama 6mil+. Nina setup inakaribia hii sema sina monitor tatu na hiyo driving sababu napenda kutumia monitor moja na sichezi game za magari.
Unacheza zipi Mkuu?
 
Vifo vingi huripotiwa kwa wenzetu gamers kufa kwenye screen. Mi ukinipa hiyo kitu nami ntakua mhanga mmoja wapo
 
Ningepata yamtumba walau kwa million na nusu kwaajili ya watoto wangu ningejitosa.
 
2mil? Haha in Tzs au USD? Kama unaongelea tzs then sahau hapo 2mil hata hiyo desktop PC yenyewe hainunui.

Game setup kama hiyo unakuta kila kitu high end. 2mil utaishia kununua GPU labda ukijibana sana unaweza nunua na CPU. Hii setup unahitaji kama 6mil+. Nina setup inakaribia hii sema sina monitor tatu na hiyo driving sababu napenda kutumia monitor moja na sichezi game za magari.
Uko vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom