Game za playstore

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Habari zenu waungwana,nilikuwa nataka kudownload game za magari kwenye playstore lakini nikishamaliza kudownload mwisho inaniletea vitu ivyo niscan app pembeni yake inaniambia open the app halafu pembeni yake inaniambia scan for virus je zipo salama izo app,picha yake ipo chini hapa
 
Kuna app umeinstall ndio inaleta hvyo. Kma una yale ma app ya Cleaner sijui yatoe hayana maana sikuhz
 
Kuna app umeinstall ndio inaleta hvyo. Kma una yale ma app ya Cleaner sijui yatoe hayana maana sikuhz
Inamaana kwa simu haina athari sio sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…