NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Hii game nimeipata muda mrefu sana ila hadi leo bado naicheza tu.. Utamu wa hii game icheze kwenye machine yenye high specs, ultra settings at full 1080p ukiwa na avarage 50+ FPS na monitor safi kabisa yenye refresh rates za kutosha...
Battlefield 4 namba moja... mrembo mwingin ni Crysis 3.. hapo hunyanyuki hadi umalize story nzima... graphics zimefikia level nyingine kabisa nowadays... kama bado unatumia dual core na intel hd ni wakati muafaka sasa kutafuta i5 au i7 na GPU za NVIDIA GTX angalau 650ti kwenda juu.....
Tupia games ambazo umecheza unazozikubali....