Game Of Thrones grande finale

Game Of Thrones grande finale

Kibongo bongo wengi tulizoea kuangalia series za kimjini mjini na kisasa zenye mateknolojia nk
Hata mimi niliangalia episode ya kwanza sikuelewa nikaipotezea
Nilipopata muda nikairudia with english subtitles
Daah bonge moja la series, hapa naona kama siku 7 mbali jinsi nilivyo miss vituko na vitimbwi
Daa naanza kuisaka aisee, nijionee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii series ilinishinda sijui kwanini

Happiness is a choice
Aiseee hiii ni series bora kuwahi tokea.Ndo series ambayo unaweza kuwa unaingalia huku ukiperuzi google kuelewa matukio kwa undani zaidi[emoji23][emoji23][emoji23].Umekosa uhondooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine sio kwamba ni bora saaana... Siunawajua Waingereza kwa kusifia na kupigia chapuo vitu vyao dunia hii...

Huenda ni kweli au may be iko overrated tu..

Japo mi pia naifwatilia kinaga ubaga
Aiseee hiii ni series bora kuwahi tokea.Ndo series ambayo unaweza kuwa unaingalia huku ukiperuzi google kuelewa matukio kwa undani zaidi[emoji23][emoji23][emoji23].Umekosa uhondooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Dstv kwetu inarusha saa ngapi?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Niliishiaga season 1 sikuendelea nayo!pale yule dogo alipowafuma wale watu wanasex halafu akadondoshwa kwenye korongo,nikaona hii GOT itanifundisha mambo ya ajabu!
 
Niliishiaga season 1 sikuendelea nayo!pale yule dogo alipowafuma wale watu wanasex halafu akadondoshwa kwenye korongo,nikaona hii GOT itanifundisha mambo ya ajabu!
Ha ha haaaaaa
Kugegedana ni mambo ya ajabu?
 
Bado najiuliza wataweza vp kukabilia na white walker na dragon wake
 
Back
Top Bottom