Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Tatizo ni kwamba aliyesema alikuwa akiwaambia wengine waangalie huko.hakuwa hata serious wala kuonyesha kama ana mtaji kiasi gani wa kufinance hiyo project zaidi y akutafuta umaarufu wa bure kisiasa.Nothing is impossible. ..if he believes in IT...usikatishe watu tamaa. .