mtaalamu unaweza kuwa specific kidogo?Complicated sana.. kifupi kuwa haiwezekani, kutumia damu ya binadamu kwa binadamu yenyewe inaleta shida inategemea blood group na Rh factor..hiyo ni human-human, sasa human-primates tayari wana tofauti kubwa kwenye biochemistry zao achilia mbali kwenye mfanano unaowafanya wawe compatible kwenye ku exchange kwenye damu
Na Mimi 2020 nitatia nia ili baadaye nikodoe kodoView attachment 454943
Arusha. Katibu Tawala Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Robert Siyantemi ameshauri tafiti za kisayansi zifanyike ili kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kwa binadamu.
Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa afya wa mkoa ulifanyika wilayani Arumeru chini ya mkuu wa mkoa wa huo, Mrisho Gambo alisema kutokana na changamoto kubwa inayoikabili Wizara ya Afya katika kuijihakikishia usalama wa damu ni bora uangaliwe utaratibu wa kutumia damu za wanyama.
"Mheshimiwa mwenyekiti naamini utafiti umeshafanyika au unaendelea kufanyika nashauri damu za wanyama hasa hawa wanaofanania na binadamu kama nyani, tumbili na kima damu zao zifanyiwe utafiti tuone kama zinaweza kutusaidia," alisema
Siyantemi ambaye alikua miongoni mwa wanachama 42 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kugombea urais mwaka 2015 alijizolea umaarufu akiwa mtia nia kijana kuliko wote.
Damu ya wanyama ina safari ndefu sana. Jaribio la kwanza lilifanyika mwaka 1667 na kusababisha maafa Na tangu hapo imekuwa ni ngoma.View attachment 454943
Arusha. Katibu Tawala Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Robert Siyantemi ameshauri tafiti za kisayansi zifanyike ili kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kwa binadamu.
Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa afya wa mkoa ulifanyika wilayani Arumeru chini ya mkuu wa mkoa wa huo, Mrisho Gambo alisema kutokana na changamoto kubwa inayoikabili Wizara ya Afya katika kuijihakikishia usalama wa damu ni bora uangaliwe utaratibu wa kutumia damu za wanyama.
"Mheshimiwa mwenyekiti naamini utafiti umeshafanyika au unaendelea kufanyika nashauri damu za wanyama hasa hawa wanaofanania na binadamu kama nyani, tumbili na kima damu zao zifanyiwe utafiti tuone kama zinaweza kutusaidia," alisema
Siyantemi ambaye alikua miongoni mwa wanachama 42 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kugombea urais mwaka 2015 alijizolea umaarufu akiwa mtia nia kijana kuliko wote.
Ape-to-human, pig-to-human blood donations: Could xenotransfusions work? | Genetic Literacy ProjectUKOSEFU WA SHULE KICHWANI (USHUKI).
Tunakoelekea huko na haya mambo ya utafiti aaaaaya,waweza kuta mgonjwa kajazwa damu ya sokwe baada ya muda mnamkuta mtini nawaza tu.View attachment 454943
Arusha. Katibu Tawala Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Robert Siyantemi ameshauri tafiti za kisayansi zifanyike ili kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kwa binadamu.
Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa afya wa mkoa ulifanyika wilayani Arumeru chini ya mkuu wa mkoa wa huo, Mrisho Gambo alisema kutokana na changamoto kubwa inayoikabili Wizara ya Afya katika kuijihakikishia usalama wa damu ni bora uangaliwe utaratibu wa kutumia damu za wanyama.
"Mheshimiwa mwenyekiti naamini utafiti umeshafanyika au unaendelea kufanyika nashauri damu za wanyama hasa hawa wanaofanania na binadamu kama nyani, tumbili na kima damu zao zifanyiwe utafiti tuone kama zinaweza kutusaidia," alisema
Siyantemi ambaye alikua miongoni mwa wanachama 42 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kugombea urais mwaka 2015 alijizolea umaarufu akiwa mtia nia kijana kuliko wote.
ha haaa haaa nyie vijana wa uvccm buana! We unafiri tafiti hazijawahi fanyika!!Alternative thinking....ni jambo zuri sana kifikiri nje ya box.
Upatikanaji wa damu ni changamoto kubwa sana kulinganisha na mahitaji.
Uko sahihi mdau ila kumbuka sayansi haina ukomo.There are always possibilities. Hebu soma haka kapiece nilikokakuta mtandaoni:So, with human blood supplies dwindling, some scientists have suggested humans may owe their lives to another mammal in the future: the pig.Complicated sana.. kifupi kuwa haiwezekani, kutumia damu ya binadamu kwa binadamu yenyewe inaleta shida inategemea blood group na Rh factor..hiyo ni human-human, sasa human-primates tayari wana tofauti kubwa kwenye biochemistry zao achilia mbali kwenye mfanano unaowafanya wawe compatible kwenye ku exchange kwenye damu