Gambo, Siyantemi washauri utafiti ufanyike kuona uwezekano wa kutumia damu ya wanyama kwa binadamu

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,908
25,181
download.jpg

Arusha. Katibu Tawala Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Robert Siyantemi ameshauri tafiti za kisayansi zifanyike ili kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kwa binadamu.

Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa afya wa mkoa ulifanyika wilayani Arumeru chini ya mkuu wa mkoa wa huo, Mrisho Gambo alisema kutokana na changamoto kubwa inayoikabili Wizara ya Afya katika kuijihakikishia usalama wa damu ni bora uangaliwe utaratibu wa kutumia damu za wanyama.

"Mheshimiwa mwenyekiti naamini utafiti umeshafanyika au unaendelea kufanyika nashauri damu za wanyama hasa hawa wanaofanania na binadamu kama nyani, tumbili na kima damu zao zifanyiwe utafiti tuone kama zinaweza kutusaidia," alisema

Siyantemi ambaye alikua miongoni mwa wanachama 42 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kugombea urais mwaka 2015 alijizolea umaarufu akiwa mtia nia kijana kuliko wote.
 
Alternative thinking....ni jambo zuri sana kifikiri nje ya box.

Upatikanaji wa damu ni changamoto kubwa sana kulinganisha na mahitaji.
 
Safi fikra nzuri,hivi ndo inatakiwa bwana gambo afikiri na si kusumbuana na chadema
 
Complicated sana.. kifupi kwa madaktari wabongo kufanya hivyo na teknolojia yetu hii iliyoshindwa hata kutatua mataizo simple kama maji safi ni kama impossible, kutumia damu ya binadamu kwa binadamu yenyewe inaleta shida inategemea blood group na Rh factor..hiyo ni human-human, sasa human-primates tayari wana tofauti kubwa kwenye biochemistry zao achilia mbali kwenye mfanano unaowafanya wawe compatible kwenye ku exchange kwenye damu
 
Complicated sana.. kifupi kuwa haiwezekani, kutumia damu ya binadamu kwa binadamu yenyewe inaleta shida inategemea blood group na Rh factor..hiyo ni human-human, sasa human-primates tayari wana tofauti kubwa kwenye biochemistry zao achilia mbali kwenye mfanano unaowafanya wawe compatible kwenye ku exchange kwenye damu
mtaalamu unaweza kuwa specific kidogo?

what are the differencies ambazo zinafanya isiwezekane?

najaribu kutafuta detailed study kuhusu hili sijaona bado
 
View attachment 454943

Arusha. Katibu Tawala Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Robert Siyantemi ameshauri tafiti za kisayansi zifanyike ili kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kwa binadamu.

Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa afya wa mkoa ulifanyika wilayani Arumeru chini ya mkuu wa mkoa wa huo, Mrisho Gambo alisema kutokana na changamoto kubwa inayoikabili Wizara ya Afya katika kuijihakikishia usalama wa damu ni bora uangaliwe utaratibu wa kutumia damu za wanyama.

"Mheshimiwa mwenyekiti naamini utafiti umeshafanyika au unaendelea kufanyika nashauri damu za wanyama hasa hawa wanaofanania na binadamu kama nyani, tumbili na kima damu zao zifanyiwe utafiti tuone kama zinaweza kutusaidia," alisema

Siyantemi ambaye alikua miongoni mwa wanachama 42 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kugombea urais mwaka 2015 alijizolea umaarufu akiwa mtia nia kijana kuliko wote.
Na Mimi 2020 nitatia nia ili baadaye nikodoe kodo
 
Damu ya wanyama ina safari ndefu sana. Jaribio la kwanza lilifanyika mwaka 1667 na kusababisha maafa Na tangu hapo imekuwa ni ngoma.

Damu ya wanyama ina blood groups nyingi kama ilivyo ya binadamu na ina mambo mengi ambayo ni marefu kuyazungumzia.
Isipokuwa kumekuwa na utafiti wa KUTENGENEZA damu ya bandia SYNTHETIC na kuna MATUMAINI.

Damu inayokuzwa kimaabara kutokana na chembechebe cells za sehemu fulani mwilini ndo zilizo na tumaini la kuwa na damu hiyo kutumika kuokoa maisha ya watu wengi.

Ikizingatiwa kuwa HUENDA damu hii ikawa UNIVERSAL DONOR kind of.
Kiasi kuwa inaweza kutumika kwa mtu YEYOTE pasipo kuleta madhara ya mwili kukataa damu kama ilivyo sasa.
Sayansi itakuwa imepiga hatua kubwa sana. Hakutakuwa tena na SCREENING ya damu kabla haijapewa mtu ili kuangalia Magonjwa yakuambukiza kidamu kama HEPATITIS (.HBV HCV HDV...), HIV, ZIKA na magonjwa mengine yanayoweza kuambukizwa kupitia DAMU.

Katika utafiti wa awali kulikuwa na uwezekano damu hii kuanza kutumika mwaka huu 2017 ama mwishoni mwa mwaka. Wataalamu hawalali.
Jambo linalozingatiwa ni utengenezaji wa platelets na kisafirisha OXYGEN na mambo kwisha.
As per damu ya wanyama not that soon!
 
Ushauri huwo wamekujanao, kwa kuwa nawo niwanasayansi, au wameletewa maono na roho mtakatifu ili waseme?
Sababu sisi tumezoea, wanasayansi walio bobea ndio wanao letaga mawazo kama hayo
 
View attachment 454943

Arusha. Katibu Tawala Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Robert Siyantemi ameshauri tafiti za kisayansi zifanyike ili kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kwa binadamu.

Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa afya wa mkoa ulifanyika wilayani Arumeru chini ya mkuu wa mkoa wa huo, Mrisho Gambo alisema kutokana na changamoto kubwa inayoikabili Wizara ya Afya katika kuijihakikishia usalama wa damu ni bora uangaliwe utaratibu wa kutumia damu za wanyama.

"Mheshimiwa mwenyekiti naamini utafiti umeshafanyika au unaendelea kufanyika nashauri damu za wanyama hasa hawa wanaofanania na binadamu kama nyani, tumbili na kima damu zao zifanyiwe utafiti tuone kama zinaweza kutusaidia," alisema

Siyantemi ambaye alikua miongoni mwa wanachama 42 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kugombea urais mwaka 2015 alijizolea umaarufu akiwa mtia nia kijana kuliko wote.
Tunakoelekea huko na haya mambo ya utafiti aaaaaya,waweza kuta mgonjwa kajazwa damu ya sokwe baada ya muda mnamkuta mtini nawaza tu.
 
Alternative thinking....ni jambo zuri sana kifikiri nje ya box.

Upatikanaji wa damu ni changamoto kubwa sana kulinganisha na mahitaji.
ha haaa haaa nyie vijana wa uvccm buana! We unafiri tafiti hazijawahi fanyika!!
Hicho kitu kilishashindikana toka mwaka 1967
 
Yaani ndo mawazo na ushauri wa mweshimiwa binadamu tu tuna damu lita nne tumbili sijui ameshindwa kuwashauri wananchi wajitolee damu kama akiba ya baadae anaanza kuwaza kuwashauri wanyama wajitolee damu yao kidogo upungufu wa damu unatokana na elimu ndogo kuhusu uchangiaji wa damuu utakuta yy toka azaliwe hajawai kujitolea damu alafu analeta ushauri usio na mashiko yvccn
 
Complicated sana.. kifupi kuwa haiwezekani, kutumia damu ya binadamu kwa binadamu yenyewe inaleta shida inategemea blood group na Rh factor..hiyo ni human-human, sasa human-primates tayari wana tofauti kubwa kwenye biochemistry zao achilia mbali kwenye mfanano unaowafanya wawe compatible kwenye ku exchange kwenye damu
Uko sahihi mdau ila kumbuka sayansi haina ukomo.There are always possibilities. Hebu soma haka kapiece nilikokakuta mtandaoni:So, with human blood supplies dwindling, some scientists have suggested humans may owe their lives to another mammal in the future: the pig.

Ndiyo. Mbele ya safari, pengine mwaka 2070 huenda nguruwe akawa mkombozi wetu kwenye damu na si nyani wala sokwe.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom