iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
ni mwenzetu,huko anawachimba tuhuyo wa kushoto ni waziri wa mifugo sijui unamjua au unaona kila mtu ni chadema
ni mwenzetu,huko anawachimba tuhuyo wa kushoto ni waziri wa mifugo sijui unamjua au unaona kila mtu ni chadema
jidanganyeni tu,lowasa alitaka kuingia ikulu kwa mgomgo wa kupata wasaliti ccmni mwenzetu,huko anawachimba tu
Mkuu vipi mbona unahasira zisizo stahimilika? punguza munkari uishi vizuri changia hoja acha virojaHedhi yako imepitiliza!! Nenda hospitali
Ha ha haa!..hawa jamaa bana wanafurahisha sanaMuda huu Kikao cha 38 cha Bodi ya Barabara kinaendelea kikiongozwa Na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kama Mwenyekiti huku Makamu Mwenyekiti Ni Mbunge wa Arusha Godbles Lema.![]()
![]()
Gambo hamuwezi Lema yeye anategemea Polisi tu.Kama vipi zipigwe tuone nani mshindi naona kila siku wanavimbishiana tu. naona hapo wote wamenuna kweli hamna ushirikiano hapo