Gambo na Lema kwenye kikao cha bodi ya barabara

Majuzi kwenye lile timbwili la hospital ya Mama na Mtoto nliona kama RC ana bodyguard, nkajiuliza hivi maRC wanakuwaga na bodyguard?? Sikumbuki kumwona Mecky Sadick akiwa na bodyguard.. Nani anawalipa???
 
Hahahahahaha bora upewe adhabu nyingine kuliko hii ya kukaa na usiyempenda kwa kulazimika.
 
Wagombanao ndiyo wapatanao. Katika siasa huwa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
 
Ukiangalia hata wamisionari waliotangulia kuja huku katika kufanikisha malengo yao walilazimika kuishi na wenyeji kama wanavotaka ndio maana wakajifunza hata lugha na vyakula vya asili.
Ili RCs wafanikiweinabidi wafuate utaratibu walioukuta huko walikotumwa badala ya kulazimisha mambo yao.
 
Mrisho unatakiwa kumfanya Huyo Mwizi wa Magari asuse kabisa... Anakuchafua Sana... Itisha watu waliopatwa na kesi za wizi wa magari zamani wajitokeze huyo jamaa anatakiwa atumikie kifungo chake kwanza ndipo arejee uraiani...

Kwanza Alikutishia kifo how come bado anapeta? maana kesi ya kutishia ni ya Jamhuri au Huruma zako tu kwake? maana Jamaa chozi lilikuwa linamtoka... Aliitukana sana CCM na atanyooka tu huyo Lema
 
mkuu kawekwa kati lema pembeni,ikitokea sokomoko hapo mkuu atapata dhoruba,kabanwa kushoto na kulia,nyuma na mbele
huyo wa kushoto ni waziri wa mifugo sijui unamjua au unaona kila mtu ni chadema
 
Mrisho unatakiwa kumfanya Huyo Mwizi wa Magari asuse kabisa... Anakuchafua Sana... Itisha watu waliopatwa na kesi za wizi wa magari zamani wajitokeze huyo jamaa anatakiwa atumikie kifungo chake kwanza ndipo arejee uraiani...

Kwanza Alikutishia kifo how come bado anapeta? maana kesi ya kutishia ni ya Jamhuri au Huruma zako tu kwake? maana Jamaa chozi lilikuwa linamtoka... Aliitukana sana CCM na atanyooka tu huyo Lema
Toka hapa!..muache mbunge wetu
 
Hapo mtu anaweza akaangalia mbele tu hata masaa 2..kama roboti..
 
Majuzi kwenye lile timbwili la hospital ya Mama na Mtoto nliona kama RC ana bodyguard, nkajiuliza hivi maRC wanakuwaga na bodyguard?? Sikumbuki kumwona Mecky Sadick akiwa na bodyguard.. Nani anawalipa???
Pengine hajiamini
 
Mrisho unatakiwa kumfanya Huyo Mwizi wa Magari asuse kabisa... Anakuchafua Sana... Itisha watu waliopatwa na kesi za wizi wa magari zamani wajitokeze huyo jamaa anatakiwa atumikie kifungo chake kwanza ndipo arejee uraiani...

Kwanza Alikutishia kifo how come bado anapeta? maana kesi ya kutishia ni ya Jamhuri au Huruma zako tu kwake? maana Jamaa chozi lilikuwa linamtoka... Aliitukana sana CCM na atanyooka tu huyo Lema
Hedhi yako imepitiliza!! Nenda hospitali
 
Lema ni Mwananchi,Gambo nimteuliwa wa Rais atapaswa kujua je ikiwa ccm ilishindwa hivi,nini chakufanya ili wanawaarusha waiamini ccm iliyokaa miaka 53 ikipiga gulio hapo?

Siasa hazitaiokoa ccm,Gambo asisababishe tu chadema ikasogea Manyara,yote na kisha Dodoma kusini na singida na Ngorongoro
 
Muda huu Kikao cha 38 cha Bodi ya Barabara kinaendelea kikiongozwa Na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kama Mwenyekiti huku Makamu Mwenyekiti Ni Mbunge wa Arusha Godbles Lema.
2221b0b32f3a756dafae5b2503eb3bbf.jpg

b57db4f727d943fa957c2c22564078cc.jpg
Ha ha ha ha Hapo ni mwanga na giza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom