Leo umeongea point...sijui hujatia kiroba[emoji15] [emoji15]Waambie vijana waache majigambo wafanye mambo ya maendeleo......
Upuuzi autasaidia chochote watu wanataka maendeleo......
Waambie hakuna mshindi mshindi uwa ni mwananchi.....
Mi situmii kiloba navuta bangi maana inaniongezea akili na kusema ukweli we endelea kula chips.....Leo umeongea point...sijui hujatia kiloba[emoji15] [emoji15]
that is unbecoming. unamsifia mtu halafu unamkashifu. shame on you!Leo umeongea point...sijui hujatia kiloba[emoji15] [emoji15]
Ha ha Gambo kha juwa haongozi mawe bali wananchi a Arusha waliomuweka mwakilishiwao Lema sio chaguo la MagufuliMkuu siasa za kupigana anazitaka Lema ili again public sympathy....lakini Gambo yupo Arusha kupiga kazi technically
Uzuri Gambo kasha juwa cheo cha Magufuli ni cha chupa ya mganga Lema kawekwa na wananchi zaidi ya laki moja sio mtuLema sasa akili zimeanza kumrudia kidogo kidogo na sasa ametambua kuwa mkuu wa Mkoa ni bosi wake...
Hongera Lema kwa kuanza kuonesha adabu na kurudiwa na akili timamu.