Gamba nguli

Gamba nguli

KIPUMPUSWA

Senior Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
106
Reaction score
35
Alishawahi kuonja siasa za maji taka a.k.a siasa uchwara. ila ni gamba linalojua kuupimia upepo unakoelekea.
 

Attachments

  • 11__Guninita_akimpingeza_Dk__Kafumu.jpg
    11__Guninita_akimpingeza_Dk__Kafumu.jpg
    34.8 KB · Views: 124
Alishawahi kuonja siasa za maji taka a.k.a siasa uchwara. ila ni gamba linalojua kuupimia upepo unakoelekea.

Baada ya miaka 4 Kafumuliwa atakuwa na gamba kama hilo la Guninita au Komba ama Masaburi!
 
...hapo ni gamba plus gamba,yote mawili ni magamba!!
 
hawa madingi wawili ndo wanawafunza hawa vijana wawili

wakikua kufikia umri wa hawa madingi watakuwa mafisadi mara mbili yao

haccm.jpg
 
Back
Top Bottom